Mkuki Na Nyota Publishers Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu - internet üzerinden indir

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.


Biçimi seçin
pdf ibook epub fb2

Nike NUINUI JEUNESSE Mkuki Na Nyota Publishers Ben R. Mtobwa Collectif NEW BALANCE NEW BALANCE Savahili dili İngilizce NUINUI JEUNESSE CreateSpace Independent Publishing Platform; Large Print basım East African Educational Publishers Nike Mkuki Na Nyota Publishers
indir okumak internet üzerinden
Baskı Detayları
Yazar Mkuki Na Nyota Publishers
İsbn 10 9987083692
İsbn 13 978-9987083695
Yayın Evi Mkuki Na Nyota Publishers
Dil Savahili dili
Boyutlar ve boyutlar 15,2 x 2,4 x 22,9 cm
tarafından gönderildi Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu 3 Haziran 2020

Son kitaplar

İlgili kitaplar

The History of Kiziba and Its Kings: A Translation of Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu


indir bedava
Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela U Lela: Au Siku Elfu Moja na Moja: Kitabu cha 4


indir bedava
Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela U Lela: Au Siku Elfu Moja na Moja: Kitabu cha 8


indir bedava
Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela U Lela: Au Siku Elfu Moja na Moja: Kitabu cha 6


indir bedava
A New History of Tanzania


indir bedava
The Banana Girls


indir bedava