Ben R. Mtobwa Nyuma ya Mapazia - internet üzerinden indir

Nyuma ya Mapazia

Tanzania iliingia katika uchaguzi mkuu ulioshirikisha vyama vingi kwa mara ya kwanza mwaka wa 1995. Kampeni kubwa za kitaifa na kimataifa zilifanyika hadharani na sirini. Yako mengi yaliyokuwa yakiendelea 'Nyuma ya Mapazia'. Mengi ya kutisha na kuogofya, na ambayo yaliambatana na matumizi makubwa ya pesa, mauaji ya kikatili na ujambazi usio na kifani. Joram Kiango, Inspekta Kombora na kikosi kizima cha polisi wanagonga mwamba katika harakati zao za kutatua kizungumkuti hicho. Kutokweka kwa King Halfan King na maiti ya mpenziwe kupatikana ikielea ufukweni wa Bahari ya Hindi kunazidisha maswali mengi bila majibu. Hata hivyo, kizungumkuti hiki kitatatuliwa?


Biçimi seçin
pdf ibook epub fb2

Outlook Verlag Almanca Kolektif İngilizce Türkçe HACHETTE LIVRE-BNF Fransızca Salzwasser-Verlag GmbH F Scott Fitzgerald Leopold Classic Library İtalyanca G.A. Henty Independently Published; Illustrated basım Jack London İspanyolca H. G. Wells B. M. Bower Independently published
indir okumak internet üzerinden
Baskı Detayları
Yazar Ben R. Mtobwa
İsbn 10 9966561552
İsbn 13 978-9966561558
Yayın Evi East African Educational Publishers
Dil Savahili dili
Boyutlar ve boyutlar 12,7 x 0,9 x 17,8 cm
tarafından gönderildi Nyuma ya Mapazia 9 Mayıs 1984

Son kitaplar

İlgili kitaplar

Tutarudi na Roho Zetu?


indir bedava
Mtambo wa Mauti


indir bedava
Zawadi ya Ushindi


indir bedava
Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela U Lela: Au Siku Elfu Moja na Moja: Kitabu cha 4


indir bedava
Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela U Lela: Au Siku Elfu Moja na Moja: Kitabu cha 8


indir bedava